Monday, June 27, 2011

MAMBO YA SERENGETI FIESTA 2011, MWANZA

Mwanamziki wa kimataifa wa ragga na mshindi wa tuzo


 za Grammy 2011, Orville Richard ‘Shaggy’ akiwasha moto ndani ya Serengeti Fiesta 2011,  CCM Kirumba jijini Mwanza.
‘Tanzania, Are you ready??’ hapa alikuwa akiwauliza wakazi wa Mwanza! Mwanza! Mwanza!
Timu nzima ya Shaggy nayo ilikuwa ikiweka mambo sawa, si unajua mambo yote yalikuwa ni ‘live’ hakuna kukopi.
Timu ya Clouds Fm akijiachia ndani ya CCM Kirumba jijini Mwanza wakati Shaggy akiumbuiza.
 
Nyomi wa watu iliyojitokeza kushuhudia tamasha ya Serengeti Fiesta 2011.
Hapa mambo yalikuwa yamepamba moto! Shaggy kila pande ya uwanja ni Shaggy!, Shaggy! Shaggy!
 
Mwanadada Sasha ambaye ni mmoja ya timu ya Shaggy akimpa tafu!
Hapa mzuka ulikuwa umempanda Shaggy!
Hivi ndiyo ilivyokuwa ndani ya Serengeti Fiesta 2011, CCM Kirumba jijini Mwanza, Mwanza, Mwanza.

No comments:

Post a Comment

Tunayaheshimu maoni yako ndio maana tunayahitaji