DAWA YA KICHINA YA KUONGEZA MAKALIO YAWEKWA HADHARANI
Gaudensia Simwanza |
Ofisa Uhusiano wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA),
akionesha dawa feki ya kuongeza ukubwa wa makalio katika banda TFDA kwenye maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma ya Umoja wa Mataifa na Afrika yanayoendelea Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Tunayaheshimu maoni yako ndio maana tunayahitaji