Thursday, July 19, 2012


Wakati huo huo Kikao Maalum Chafanyika 


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akiwa na Viongozi Wakuu wa Serikali alipofika katika Ofisi za Shirika la Bandari, Malindi Unguja kupata taarifa sahihi ya ajali ya kuzama kwa Meli ya MV Sky Get ikitokea Dar es Salaam kuelekea Unguja
.[Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]


Breaking News

Meli yazama Zanzibar na Hali ilivyo kwa sasa


Daktari akitoa huduma ya kwanza kwa majeruhi/wahanga wa ajali ya meli iliyozama mara baada ya kuokolewa