Monday, May 30, 2011

Washabiki wa MANU baada ya kusawazisha goli la kwanza mambo ilikua kama hivi


 Hapa ni wahsabiki wa kudumu wa A town wakijipongeza baada ya pambanao hilo kuisha 
 


Ndelemo za kukubali matokeo ya mechi ndio vilitawala bila fujo huku monde ikiendelea

 Miruzi haikuachwa na washabiki hawa 

No comments:

Post a Comment

Tunayaheshimu maoni yako ndio maana tunayahitaji