Friday, April 17, 2015

Pata Masai Sandles kwa Bei Poa @ 25000/= Tshs.

































Copy right: Emmanuel Diah

AJALI INGINE MBEYA LEO

Ajali Zimekithiri Tanzania 

Hiace yapoteza Muelekeo na kuingia mtoni Kiwira ( Mbeya )  na kusababisha vifo vya abiria wote (24)







Copy right: Emmanuel Diah

Thursday, March 13, 2014






























Imma Diah

Thursday, July 19, 2012


Wakati huo huo Kikao Maalum Chafanyika 


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akiwa na Viongozi Wakuu wa Serikali alipofika katika Ofisi za Shirika la Bandari, Malindi Unguja kupata taarifa sahihi ya ajali ya kuzama kwa Meli ya MV Sky Get ikitokea Dar es Salaam kuelekea Unguja
.[Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]


Breaking News

Meli yazama Zanzibar na Hali ilivyo kwa sasa


Daktari akitoa huduma ya kwanza kwa majeruhi/wahanga wa ajali ya meli iliyozama mara baada ya kuokolewa 







Thursday, May 17, 2012


BREAKING NEWS

SIMBA YAPOTEZA KIUNGO WAKE




MCHEZAJI Patrick Mafisango wa timu ya Simba ya Dar es Salaam amefariki dunia leo kwa ajali ya gari katika eneo la Tazara jijini Dar es Salaam. Taarifa ambazo zimetolewa kutoka Klabu ya Simba zimesema Mafisango amefariki dunia leo asubuhi kwa ajali ya gari maeneo ya Tazara. Mtandao huu utawaletea taarifa zaidi za tukio hilo muda mfupi baadaye. Mtandao huu pia unatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na klabu nzima ya Simba kwa pigo hilo.

Monday, May 14, 2012

Manchester City Watwaa Ubingwa Ligi Ya England










Thursday, May 10, 2012

Manchester United's new kit 'looks like a tea towel', say horrified fans

Copy right: Emmanuel Diah

Tuesday, May 8, 2012

Man United’s Young Star Pogba Agree Juve Deal 

Pogba

·         EXCLUSIVE: The French teenager has long been linked with a switch to the newly-crowned Serie A champions, and is set to exit Old Trafford and put pen to paper on a four-year deal with the Italians
Source :goal.com
Kagawa – Kifaa kinachomuumiza akili Mzee Ferguson


Copy right: Emmanuel Diah